Huyu
ni Msanii mkongwe maarufu kwa jina la Ray C ambaye leo hii
ameamua kuyanadi mapaja yake akidai kwamba hiyo ndo sehemu
muhimu ya mwili wake...Kila
mwanamke ana mvuto wake, wapo wanaojivunia nyuso zao zenye
macho yaliyoumbwa yakaumbika, nyuso zisizo na chunusi wala aina
yoyote ya kovu...Wapo
pia wanaojivunia makalio yao na sote tumekuwa tukishuhudia
jitihada mbali mbali za akinadada za kujitengenezea makalio ya
bandia ( ya kichina ) ili kujiongezea mvuto kwa wanaume.
Hali ni tofauti kidogo kwa msanii Ray C.Yeye anaamini kwamba mapaja ndo kila kitu na kwamba ni hicho kigezo muhimu kinachoangaliwa na wanaume wengi wa siku hizi...
"Nani asiyejua kwamba kuna makalio ya kichina? Umewahi sikia wapi mapaja ya kichina?..Haya tunayo wachache ambao tumejaliwa na muumba wetu".Hii ni kauli ya Ray C alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu.
Akongelea
kuhusu afya yake kwa ujumla, Ray C amewashukuru kwa mara
nyingine watanzania wote waliokuwa naye wakati wa akiwa mgonjwa."Sitachoka
kuwashukuru watanzania wenzangu ambao walikuwa pamoja nami
pindi nikiwa mgonjwa. Nguvu zangu kwa sasa nimezielekeza katika
kuiimarisha afya yangu na ndo maana unaniona niko hivi kwa
sasa.
"Haikuwa kazi nyepesi kuirejesha afya yangu ndani ya muda mfupi.Nilidhani mapaja yangu hayatarejea tena katika hali yake.Mungu ni mwaminifu, kila kitu kiko vizuri kama nilivyokuwa nataka"..Ray C
Hali ni tofauti kidogo kwa msanii Ray C.Yeye anaamini kwamba mapaja ndo kila kitu na kwamba ni hicho kigezo muhimu kinachoangaliwa na wanaume wengi wa siku hizi...
"Nani asiyejua kwamba kuna makalio ya kichina? Umewahi sikia wapi mapaja ya kichina?..Haya tunayo wachache ambao tumejaliwa na muumba wetu".Hii ni kauli ya Ray C alipokuwa akipiga stori na mpekuzi wetu.

"Haikuwa kazi nyepesi kuirejesha afya yangu ndani ya muda mfupi.Nilidhani mapaja yangu hayatarejea tena katika hali yake.Mungu ni mwaminifu, kila kitu kiko vizuri kama nilivyokuwa nataka"..Ray C
0 comments:
Post a Comment