Friday, October 11, 2013



 Waziri Benard Membe akikaribishwa katika kanisa la Baptist Uhai Jijini Mbeya April 29,2013.  

 Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe akiweka jiwe la Msingi katika kiwanja cha kanisa la Babtist Jijini Mbeya mahala ambapo panatarajiwa kujengwa shule ya mchepuo wa Kiingereza.

 Waziri Membe akikata utepe katika moja ya miradi ya ujenzi inayotarajiwa kujengwa na kanisa la Baptist Uhai Jijini Mbeya ambapo katika miradi hiyo alichangia Shilingi Milioni Ishirini na tano.

 April 29,2013. alipokuwa akikata utepe mahala ambapo patajengwa ukumbi utakaokuwa na jina lake Jijini Mbeya na kuitwa Ukumbi wa Membe Mbeya.

(Picha zote na maktaba ya kalulunga blog)

TETESI zinasema kuwa, Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa, ambaye anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaotarajia kujitosa katika kinyang'anyiro cha wagombea nafasi ya Urais mwaka 2015, anadaiwa kiashi hicho katika kanisa la Baptist la Soweto Jijini Mbeya.

* NI zile alizoahidi kanisani kwa ajili ya uchoraji ramani za ujenzi wa ukumbi na shule ya mchepuo wa kiingereza.
Categories:

0 comments:

Post a Comment