
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni zinazomuonesha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum akiwa katika pozi zito la mahaba na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu, baadhi ya waandishi wa habari mbalimbali wanamtafuta mwanamke ambaye ndiye mchumba wake wa sasa Penny kutaka kujua maamuzi yake baada ya picha hizo kusambaa mitandaoni.
0 comments:
Post a Comment