Wednesday, June 5, 2013



Asubuhi  tuliripoti  juu  ya  kuwepo  kwa  mtanzania  mwenzetu  anayetarajiwa  kunyongwa  ijumaa  hii (   bado  hatuna  uhakika  ).....

Tumefanikiwa  kuinasa  video  wakati  akikamatwa  na  madawa  ya  kulevya... 

Hizi ndo picha  za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri. 

Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa

Mrembo Fatma aka Brown Berry katika pose
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake 
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo


Baadhi ya maoni   kutoka  youtube  ambako  video  hii  imepachikwa


Categories: ,

0 comments:

Post a Comment