Wednesday, May 1, 2013



Taarifa ambayo sio rasmi ni kwamba hakuna aliepoteza maisha, zaidi ni waliojeruhiwa tu lakini bado Mtandao huu unaendelea kufatilia taarifa ya Polisi Pwani ili kupata taarifa kamili ya ajali ya hili basi liitwalo Smart ambalo lilikua likitokea Mombasa.



Categories: , ,

0 comments:

Post a Comment