Tuesday, May 7, 2013


Sakata la Lady JayDee na wakurugenzi wa Clouds FM, Ruge Mutahaba na Joseph Kusaga, halionyeshi dalili za kupungua kasi muda wowote hivi karibuni. Baada yaRuge kuzungumzia kwa kirefu drama hiyo kwenye interview (mpaka Zeutamu ya mzee Malecela Peter Lusinde ilizungumziwa humo… kwi kwi kwi!) Jide ameendeleza harakati zake dhidi ya mapedejhee hao kupitia Twitter na Facebook, ambapo alianza kwa kuwapa washabiki wake teaser ifuatayo at Facebook: “Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake…Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender”
lady-jay-dee-ruge-mutahaba-clouds-fm-twitter-interview-0

Meanwhile huko Twitter dada anayeitwa Jasmine Mussa aliamua kumpa Jide ushauri: “@jidejaydee umoja n nguvu ma utengano n dhaifu hebu busara itumike kat yako na ruge kuna mengi hatuyafahamu kaeni myamalizee #BIFU HAZJENGI”
Lady JayDee ‏akajibu: “@Jasmadini Nani akae na Ruge ayamalize, mimi? Unanijua unanisikia? Lete story zingine ehee !”
Mshabiki mwingine alimuuliza swali lifuatalo: “@JideJaydee eti ruge wants to be your friend 1.Comfirm 2.Not now 3.Delete” Lady JayDee akajibu: “@JayEliud Hapo ni Delete kbsaaa”

Categories:

0 comments:

Post a Comment