Tuesday, April 16, 2013





 
 

 
Katika hali ya kustaajabisha sana msanii anayemake headline katika muziki wa Kidunia ajulikanaye kama Rihanna, ametinga katika party ijulikanayo kama Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha zinavyoonekana.

0 comments:

Post a Comment