Sunday, April 14, 2013


Zaidi ya abiria 100 wamenusurika kimiujiza jana baada ya ndege kuvuka njia ya kutua/kuruka na kwenda hadi ufukwe wa Bali na kujikita kwenye bahari.
Mashuhuda walisema abiria waliokuwa wakihofia maisha yao walipiga makelele kutokana na kuchanganyikiwa huku ndege hiyo ya Lion Air ilipovuka njia ya kutua/kuruka kwenye Uwanja wa Ndege wa Ngurah Rai, karibu na Denparsar. Ndege hiyo, ilikuwa imebeba abiria 101 na wafanyakazi saba – kisha ikatumbukia baharini kutoka urefu wa karibu mita …read more

0 comments:

Post a Comment