
MBUNGE wa Viti Maalum, Leticia Nyerere (Chadema), ameitaka Serikali kuanzisha chuo maalumu kwa ajili ya kuwafundisha wanaume jinsi ya kutongoza wanawake.
Akiuliza swali bungeni jana, Nyerere alisema hali hiyo itawezesha wanaume kuachana na ngono ya dezo kwa kuwafuata walemavu wa akili (vichaa), kukidhi mahitaji yao ya kimwili kutokana na kutojitambua kwao.
Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya wanaume kuwapa mimba wanawake wenye ulemavu huo, wakiwamo omba omba na..read more
0 comments:
Post a Comment