Tuesday, April 16, 2013


Waasi wa M23
Serikali imesema haitasita kupeleka askari wake Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kwa ajili ya kukabiliana na waasi wa kikundi cha M23 .

Imesema hatua ya kikundi hicho kuionya Tanzania kutopeleka askari wake huko ni ya kutapatapa.
Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, aliliambia Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) jana asubuhi kuwa …read more

0 comments:

Post a Comment