Showing posts with label MAPENZI. Show all posts
Showing posts with label MAPENZI. Show all posts

Friday, May 23, 2014

Amakweli dunia imekwisha! Watu wa Dar es Salaam wanasema uzee mwisho Chalinze, Dar es Salaam kila mtu baby, kauli hiyo ilitimia usiku wa kuamkia Jumanne iliyopita baada ya mmiliki wa Gesti ya GLP ya Mabibo Mwisho jijini Dar es Salaam, Amos Makelle kunaswa kitandani usiku wa manane na mfanyakazi wake aitwae Tina.
Bosi huyo na mfanyakazi wake walinaswa na mchumba wa Tina aitwae Salum Mbonde ambaye alipenyezewa umbeya huyo na mteja mmoja aliyekodi chumba kwenye gesti hiyo kwa ajili ya kufuatilia nyendo za wawili hao.

Baada ya mchumba wa Tina kupewa umbeya huo kuwa wawili hao walikuwa katika harakati za kuchepuka aliwawekea mtego na kuwashirikisha waandishi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ na askari wa doria.

BOSI ATOA SHINGO KUCHUNGULIA NOMA
OFM na mchumba wa Tina wakiwa wamelizingira eneo la gesti hiyo mishale ya Saa 8:17 usiku kukiwa kumetulia tuliii... mtonyaji aliyekodi chumba kwa ajili ya kazi maalum aliwatumia ujumbe mapaparazi wa OFM kuwa mzee Makelle aliyekuwa kwenye chumba chake alitoa shingo kama mara tatu na kuangalia kulia na kushoto kama kulikuwa na mtu aliyemuona.
APIGA HATUA ZA KUNYATA
Ilipotimu saa 8:31, Mzee Makelle akiwa tumbo wazi na kipensi chake aliangalia tena kama hakukuwa na noma, akachomoka chumbani kwake fastafasta kwa hatua za minyato na kuzama chumba namba 104 alimokuwa Tina.

SHAAABASH... WANASWA KITANDANI
Shaaabash... baada ya dakika chache OFM na mchumba wa Tina walizama kwenye chumba hicho na kuwakuta wawili hao wakiwa kitandani huku Tina akiwa na nguo za ndani.

Walipohojiwa na OFM Tina alikuwa akilia na kumuomba radhi mchumba wake na kusema bosi wake huyo ndiye alimshawishi kuchepuka naye aliona kitendo cha kumnyima kingesababisha apoteze ajira yake ambayo anaitegemea.

Mzee Makelle alipohojiwa, katika hali ya kustaajabisha baada ya kujitetea alianza kumchongea Tina kwa mchumbaake akidai si mwaminifu.

“Wewe kama huyu ni mchumba wako hilo mimi nilikuwa silijui, lakini huyu mwanamke juzi tu kalala na mwanaume mwingine palepale gesti na kama unabisha twendeni nikawaoneshwe kitabu cha wageni muone jina lake na la huyo bwana,” alisema mzee huyo.

Waungwana waliokuwa wakimsikiliza mzee Makelle walimtafadhalisha kutozungumza maneno ya kichochezi na kumtaka ajitete mwenyewe.

Baada ya sakata hilo kijana huyo alimchukua mchumba wake na kuondoka naye ambapo OFM ilifuatilia na kubaini kuwa bado msichana huyo anaendelea kufanya kazi kwenye gesti hiyo.

Endapo mfanyakazi huyo atafukuzwa kazi na bosi wake baada ya kufumaniwa OFM inaiomba serikali kuingilia kati ili mwanamke huyo apate haki zake kwani bosi huyo awali alikuwa akisema huenda katika mchongo wa kumnasa Tina anahusika.
Stori: Richard Bukos na Issa Mnally,GPL >

Monday, October 14, 2013

Ufoo Saro wakati akitolewa chumba cha upasuaji kupelekwa wodini.
 Manesi wakimpeleka Ufoo wodini.
 Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro,  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake  Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.
 Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.
 Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.
  Baadhi ya waandishi na wananchi wakiwa wamekusanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kujua hali ya Ufoo.
Mtangazaji wa ITV na Radio One, Ufoo Saro amefanyiwa upasuaji baada ya kujeruhiwa vibaya kwa risasi na mzazi mwenziye aitwaye Anther Mushi mapema leo. Upasuaji huo umefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia asubuhi mpaka saa 12 jioni. Ufoo alipigwa risasi akiwa nyumbani kwa mama yake mzazi Annastazia Saro baada ya kutokea mgogoro baina yake na mzazi mwenziye. Katika tukio hilo, Anther alimpiga risasi na kumuua mama Ufoo kisha na yeye akajilipua kwa risasi baada ya kumpiga risasi Ufoo. Kwa sasa Ufoo amehamishiwa katika wodi ya Kibasila anapoendelea kupatiwa matibabu. Umati wa watu ulikusanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia asubuhi ili kujua hali ya mtangazaji huyo.

Friday, October 11, 2013

Rais wa Wasafi mwenyewe, Diamond Platnumz amefunguka kupitia website yake kuhusu taarifa hizo kwa kuweka picha hizi na kusema yafuatayo:
Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana Mitandaoni na Kwenye Media tofauti… kwamba mimi na Mwanadada Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana Mnapenda kuona watu wanauadui… nimuda wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo nanfaida.. I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.
IMG_0045
IMG_0105
11174321c6glCzi5
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni zinazomuonesha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum akiwa katika pozi zito la mahaba na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu, baadhi ya waandishi wa habari mbalimbali wanamtafuta mwanamke ambaye ndiye mchumba wake wa sasa Penny kutaka kujua maamuzi yake baada ya picha hizo kusambaa mitandaoni.

 katika Mapenzi kuna vitu vingi unaweza kumfanyia Mpenzi wako ukamfurahisha na kumfanya azidishe Mapenzi ila katika safu hii nitazungumzia Mambo machache muhimu yatakayokusaidia kuboresha na kudumisha penzi lako kwa umpendae KARIBU:
YAFUATAYO NI MAMBO MUHIMU YANAYOZIDISHA UPENDO:
1.KUMNUNULIA ZAWADI MPENZI WAKO:
» Zawadi ni moja ya sehemu husika katika Mapenzi inayoweza kufanya penzi likawa bora na lenye kupendeza siku zote, faham kwamba hakuna mtu asiependa kupewa zawadi na kila anaepewa zawadi siku zote hujihisi kama ni mtu anaependwa na anaejaliwa na kuthaminiwa hususani katika ulimwengu wa Mapenzi unapompa mpenzi wako zawadi basi faham ya kwamba utamfanya mpenzi wako ajione kama ni wapekee kwako na anathamani kubwa kwako hivyo hatosita kudhihirisha mapenzi yake kwako, kikubwa zingatia pindi unaponunua zawadi kwa ajili ya kumpa mpenzi wako jitahidi kuwa mbunifu na uwe ni mwenye kubadilika sio kila siku zawadi zile zile zinajirudia kwa kufanya hivi utamboa mpenzi wako kuwa mbunifu na jaribu kumpa mpenzi wako zawadi zenye kutunzika mfano kama Card, maua, nguo n.k. Utamfanya azidi kukupenda zaidi na zaidi.
2. MSIFIE MPENZI WAKO:
» Sifa zinaleta changamoto katika mapenzi. Unapaswa kutambua kuwa usiwe mchoyo wa sifa kwa mpenzi wako usisubiri watu wapembeni wamsifie mpenzi wako pindi anapofanya jambo zuri na lenye kupendeza chukua nafasi hii wewe kama kioo chake unadhani usipo msifia mwenza wako unataka nani amsifie?! Jitahidi kudhihirisha sifa kwa mpenzi wako kwa mfano umemuona mpenzi wako kapendeza basi usisite kumwambia "Sweetie nimependa vazi lako la leo ama hakika umetoka sex nakutamani zaidi ya siku zote navyokutamani ingawa siku zote unaziteka hisia zangu ila leo ni zaidi" unaweza kumpa maneno kama haya na mengine mazuri ya kuvutia, sifa zipo nyingi mbali na kumsifu mavazi yake hata tabia n.k. Kwa kufanya hivi utamfanya mpenzi wako azidishe mapenzi kwako kwani atahisi kampata mtu anaejali ubora na uhalisia wake kimaumbile na kimatendo. ZINGATIA:- Usitoe sifa ilimradi sifa zisizo na ukweli.
3. EPUKA KUMUUDHI MPENZI WAKO:
» Sote tunafahamu kuwa hakuna binadamu aliekamilika na hakuna alietolewa nyongo kila mtu anakasirika na anakosea ila solution kubwa ni kudhibiti hasira na kurekebisha makosa na kusuluhisha hususani kwenye mapenzi, katika mapenzi hakuna jambo baya linalopunguza upendo kama ugomvi na kumuudhi mpenzi wako mara kwa mara. Ili kuboresha mapenzi na kulifanya penzi lako liwe imara na lenye kuvutia basi jitahidi kuepuka kumuudhi mpenzi wako na pindi ikitokea umekorofishana na mpenzi wako jaribu kutafuta suluhu mwite kaa nae muombe samahani iwapo kama unakosa na hata ikitokea kosa si lako pengine kakuudhi na bado unamuhitaji usikae na kinyongo wala usiumize nafsi yako kaeni muyamalize muendeleze mahusiano yenu na msiwe watu wa kuzungumzia tofauti zenu kwa watu wa pembeni. Kwa kufanya hivi daima mtakuwa ni mfano mzuri wa kuigwa na mapenzi yenu hayatofika kikomo zaidi yataendelea kushamiri.
4. MFANYIE YATAKAYO MFURAHISHA:
» Kuna mambo mengi mazuri na yakuvutia katika mapenzi unaweza kuyafanya kwa mpenzi wako yakamfurahisha kwa mfano unaweza kusoma tabia ya mpenzi wako na ukajua ni nini anapenda na kipi hapendi kufanyiwa ukajitahidi kujilinda kumtendea asiyoyapenda na ukaufungua moyo wako kwa kumridhisha kumfanyia kile anachokipenda. Katika mapenzi watu wengi hupenda kutolewa Out, kupewa ofa ya lanch, kupewa zawadi zenye mvuto na zenye hamasa nzuri kwenye mapenzi. Unaweza kufanya vitu vizuri vyenye kuvutia kwa mpenzi wako vikamvutia ikawa ni nafasi nzuri kwako kumfanya azidishe mapenzi.
5. KUWA MTU WA UTANI KWAKE:
» mpenzi msomaji ninapozingumzia mapenzi na maanisha mazoea yaliyoambatana na upendo, siku zote mapenzi hujijenga moyoni kwa mtu kutokana na ukaribu na mazoea yaliyopo baina ya watu wawili, katika pointi hii ya mwisho nataka nizungumzie utani katika mapenzi unafaida gani. Mpenzi msomaji fahamu yakuwa utani ni moja ya sehemu katika mapenzi na utani unasaidia kuboresha mapenzi ila utani ninaotaka kuuzungumzia hapa ni utani wa kawaida na sio ule wa kuvuka mipaka. Elewa wazi kabisa unapokuwa na mpenzi wako na ukawa ni mtu wa utani inakusaidia wewe kumfanya mpenzi wako akuzoee na awe anajisikia kuwa karibu nawewe muda wote kwani utakuwa unamfurahisha kutokana na utani wako. ZINGATIA:- Usivuke mipaka ya utani, usimtanie kupitiliza, mtanie kutokana na mazingira, usiwe utani unaofanana nakweli, mtanie kwa faida.
MPENZI MSOMAJI WA KURASA HII UKIZINGATIA HAYA MACHACHE YALIYOANDIKWA NA UKATEKELEZA KAMA ILIVYO AGIZWA SIDHANI KAMA PENZI LAKO KWA UMPENDAE LITATETEREKA NA KUTAWALIWA NA SUMU YA PENZI. Siku zote Penzi litabaki kuwa imara na lenye kuvutia kwako na kwa watu wa pembeni. Mapenzi sio mitishamba dawa ya Mapenzi unayo wewe mwenyewe

Friday, July 26, 2013



LILE sakata la staa wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya kutuhumu kumshika ugoni staa mwenzake aliyemtoa kwenye gemu, Lucy Francis Komba limeingia sura nyingine kuafutia picha za filamu inayodaiwa kuchezwa na wawili hao kunaswa na Ijumaa, twende hatua kwa hatua. 
Katika baadhi ya matoleo ya Magazeti ya Global Publishers zilichapishwa habari za mastaa hao kuzua bifu zito kufuatia Lucy kumchukua mwanasoka wa Rwanda ambaye ni mume wa ndoa wa Uwoya, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ na kucheza naye filamu jambo ambalo Uwoya alilipinga.
KWA NINI UWOYA ALIPINGA?
Uwoya alipinga mumewe kushiriki filamu hiyo kwa sababu aliambiwa washiriki ni wawili tu, mumewe Ndikumana na Lucy. Filamu inaitwa Kwa nini Nisimuoe?
Kwa mujibu wa Uwoya, hajawahi kuona filamu ya kawaida inachezwa na watu wawili tu, akasema Lucy alitumia nafasi hiyo kuwa na mumewe kimapenzi.
Hata hivyo, Uwoya alisema akiviona vipande vya picha za filamu hiyo atajua ukweli.
Wiki iliyopita aliviona vipande hivyo na kuweka msimamo wake kwamba hakuna filamu ni mapenzi tu.

IJUMAA LAFUKUNYUA, LAIBUKA NA PICHA
Kama kawaida ya Magazeti ya Global Publishers, liwe Ijumaa, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Amani, Championi au Risasi ni kuchimba mambo kwa undani na kuupata ukweli wa jambo, hivyo timu ya wanahabari wetu ilizama mitaani na kuzisaka picha za filamu hiyo.
Julai 23, 2013, Ijumaa lilifanikiwa kuzipata picha hizo ambazo moja baada ya nyingine zinawaonesha Lucy na Ndikumana wakiwa katika mapozi mbalimbali ndani ya filamu (angalia picha).

MWANZO, MWISHO NI WAWILI TU!
Katika picha hizo ambazo ziko mikononi mwa dawati la Ijumaa, wasanii walioonekana ni Lucy na Ndikumana tu hivyo kushibisha yale maswali ya Uwoya kuwa ni kwa nini filamu nzima ichezwe na watu wawili tu?

HADITHI YA FILAMU YADAIWA NI KISA CHA KWELI CHA UWOYA NA NDIKU
Habari za hivi karibuni zilisema kuwa,   cha ajabu, kisa kinachosimuliwa katika filamu hiyo ni cha kweli.
Ilidaiwa kuwa kisa hicho kilimpata Ndiku baada ya kukutana na Uwoya kwa mara ya kwanza kabla ya kufunga ndoa.
Madai hayo yanaongeza chachu katika moyo wa Uwoya na kuzidi kuamini kuna kitu kinaendelea kati ya mumewe na Lucy.

UWOYA AKATISHA ZIARA SWAZILAND
Uwoya alipotafutwa na Ijumaa juzi ili kumsikia msimamo wake kuhusu hali tete katika ndoa yake baada ya hisia zake kuwa anaibiwa mumewe na Lucy, alisema atapasua jipu atakapotua Bongo akitokea nchini Swaziland ambako alikwenda kwa ziara binafsi.
Alisema kuwa amelazimika kukatisha ziara na kurudi Tanzania kwa vile suala la Lucy na mumewe linamnyima raha kuendelea kuwepo ugenini.
“Narudi Bongo Jumatano (juzi). Unajua hili suala limeninyima raha kabisa. Siwezi kuendelea kuwepo huku ugenini. Nikifika nitatoa la moyoni,” alisema Uwoya.

LUCY AZUNGUMZA KUTOKEA DENMARK
Wakati Uwoya akizungumza kutokea jijini Mbabane, Swaziland, Lucy yeye alitoa sauti yake akiwa nchini Denmark kwenye Jiji la Copenhagen.
Alipoulizwa kuhusu tambo za Uwoya baada ya yeye kucheza filamu na mumewe Ndikumana, alijibu:
“Mimi sina cha kusema, yeye anajua mimi ni nani katika filamu. Mumewe kaonesha mapenzi ye kucheza filamu yangu, sasa anaposema ningemtaarifu yeye kama nacheza filamu na mumewe ili iweje? Kwa nini asimlaumu mume wake ambaye ndiye alipaswa kumtaarifu?” alisema Lucy.
Lucy aliongeza: Kama Ndiku angekuwa mtoto chini ya miaka kumi na nane nataka kucheza naye filamu hapo kweli, ningepaswa kumtaarifu Uwoya kama mama mtu, lakini mume, si sahihi kunilaumu.

MADAI YA HADITHI YA FILAMU KUWA KISA CHA KWELI
Kuhusu madai kwamba hadithi ya kwenye filamu hiyo ni kisa cha kweli kati ya Uwoya na Ndiku, Lucy alijibu:
“Teh! Teh! Si kweli bwana. Kama Uwoya ndiyo kasema hivyo basi ana kisa kinachofanana na cha filamu yangu. Mimi filamu ni yangu na hadithi ni yangu.”

WAONGOZA FILAMU BONGO WANASEMAJE KUHUSU WATU WAWILI TU?
Ili kujifunza juu ya wasanii wawili kucheza filamu nzima, Ijumaa liliwatafuta baadhi ya waongoza filamu Bongo.
Jumanne Kihangala ‘Mr Chuz’: Kusema kweli ni vigumu sana. Labda kama zile filamu za porini, mtu anakimbizwa na wanyama (documentary).
“Lakini kucheza filamu za mjini halafu wawili tu, mnagombana wenyewe mnapatana wenyewe ni kazi sana,” alisema Chuz.
Jacob Steven ‘JB’: Du! Labda kama utakuwa umekusudia kupunguza bajeti, lakini pia haitakuwa filamu nzuri, wawili tu?! Kwanza ni filamu gani hiyo ya watu wawili tu?
Ijumaa lilimkatia simu.
Mahsin Awadh ‘Dk Cheni’: Mh! Zipo kama mtu mwenyewe atakuwa ameamua, lakini sidhani kama sokoni itakubalika. Ni nani huyo kwani?
Ijumaa likamkatia simu.
Wazoefu wengi wa filamu walisema documentary ndizo zinaweza kuwa na watu wawili lakini si filamu.

Sunday, July 21, 2013






<

Saturday, June 8, 2013

Mambo mengi yanayohusu mwanamke yameandikwa na wanaume.Jambo hili limesababisha kuwepo na taarifa nyingi za kutia mashaka kuhusu mwanamke.Dr Marie Robinson ni mwanamke aliyeolewa.Katika utafiti wake juu ya mwanamke kufika kilele ktk tendo la ndoa anasema hivi
Kufika kilele ni ule muda ambao kushikamana kwa msuli na akili huzuka ghafla mpaka kufikia ambapo haiwezekani kwa mwili kuvumilia.
Huku mwanaume akiendelea kusukuma kwa nguvu hali ya raha ya mwanamke huongezeka sambamba na msukumo wa kiuno cha mwanamke.
Mwanamke hujikaza kupita kiasi,mpaka pale ambapo huona haiwezekani kuendelea,,maana wakati huo tayari mwili mzima hutikiswa kwa mawimbi ya furaha.
Hapo mwanamke huonekana usoni,mikononi,miguuni,ktk kiwiliwili na ndani kabisa ya nyayo za miguu.
^^
Hayo yote humfanya mwanamke bila kujijua anafanya nini au anatamka nini,kichwa chake hurudishwa nyuma,na sehemu ya chini huinuka juu katika juhudi za yeye kutaka aingiwe zaidi na zaidi.Ikifika hatua hii wanawake hutofautiana,wengine hutumia dk 1,2 au 3 Na habari njema ambayo mwanamke angependa kuisikia ni kumwona mwanaume akiongeza juhudi na juhudi,ili amfikishe zaidi na zaidi ili anapohema kwa nguvu,kusukana kwa mapigo ya moyo na utoaji wa maji ktk tezi vibaki katika hali hii ambayo raha yake ni kufika kileleni kwa pamoja,hakuelezewi kwa maneno bali tabasamu angavu na shangwe za mwili kwa siku nzima inayofuata.
^^
Si wanawake wote hulia au kupiga makelele wengine hujitokeza bila hata wao kujua wanafanya nini,wengine huwa kimya kabisa,wengine hukunja sura zao,wengine huongea lugha wasizozijua,wengine huelemewa na raha kiasi hububujikwa machozi pasipo kutoa sauti,,Lakini dalili kama jasho jembamba,kuhema kwa nguvu,uke kujifinya ili ubane uume,matiti na chuchu kuvimba n.k
Ni dalili ambazo huonekana kwa wengi,wanapofikia juu kabisa ya kilele wakati wa tendo la ndoa.
^^
MWANAUME
Mjali mwenzako,hakikisha unamsaidia mwenzi wako kupanda mlima huu mrefu kuliko yote duniani.Kutoa mbegu tu na kugeukia upande wako ni ubinafsi! Fanya kazi kwa moyo,na maarifa
Uhusiano utadumu kupita milele.

Saturday, May 25, 2013




Muigizaji Tope Osoba amekataa kuwa na mahusiano bila ya kukutana kimwili, na kufunguka kwamba anashangazwa na wasanii wengi wa Tanzania na Nigeria ambao wamekuwa wakiolewa na wanaume zao na kuishi nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka na hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kumtembelea mwenzake.
 
“Ngono ni kitu cha kuburudishana kati ya wawili wapendanao. Ngono ni nzuri. Imeumbwa ili wapenzi wa-enjoy na kubadilishana siri za mioyo yao.” Alifunguka actress huyo.
 
Alipoulizwa kuhusu mapenzi kabla ya ndoa, Tope alisema: “Mapenzi kabla ya ndoa ni poa tu, al muradi usalama kwanza. kwanza tusidanganyane, hauwezi kudumisha uhusiano bila ngono.”
 
Alifafanua kuwa maisha ya namna hiyo hayapo na kama yapo yana kitu nyuma ya pazia kwa kuwa hakuna mwaminifu bila ya sababu ya msingi

Monday, May 13, 2013



Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.


Akizungumza na mwandishi wetu,  Aisha amefunguka kuwa alikuwa kimya kwa sababu kuna mambo alikuwa akifanya.
Alisema kwa kuwa ameyakamilisha, sasa ana nafasi ya kusaka mtoto iwapo atampata mwanaume sahihi.

Aisha amevitaja vigezo vya mwanaume wa kumzalia kuwa amjengee nyumba ya kuishi yeye na mtoto wake kisha awe na uwezo wa kumlea na kumpatia elimu bora.


Sakata  la  warembo  11  wa Mombasa  kunaswa  wakiiigiza  video ya ngono  na MBWA  limechukua  sura  mpya  baada  ya  taarifa  kuvuja  kwamba  yule  mzungu (Christopher Clement) waliyekuwa  naye  ni  mfanyakazi  wa  shirika  la umoja  wa mataifa ( United Nations Development Programme -UNDP)

Madai  hayo  yamekuja  baada  ya  kunaswa  kwa  gari  mojawapo  la  mzungu  huyo  lenye  namba  za  usajili  40UN221K  ambazo  ni  za  UNDP....

Na  haya  ndo  majina  11  ya  watuhumiwa  wa  kashfa  hiyo  chafu.....
  1. Christopher Clement Weisssenrieder, 
  2. Janet Akoth Omollo, 
  3. Mercy Waithera Karanja, 
  4. Mary Nyambura Kimani, 
  5. Magdaline Wairimu Chege, 
  6. Celestine Nekesa Sitati 
  7. Dorcus Melishah Indakwa
  8. Lydia Nyaboke Momanyi, 
  9. Philidelia Mawia Solomon, 
  10. Anne Wanjiku Gichuki 
  11. Celilia Nzambi Katuku.
Kwa  taarifa  zaidi, icheki  ripoti  hii  ya NTV  hapo  chini


Unaweza  kutembelea :Daily Nation na kahawatungu blog  kwa  habari  zaidi

Shukrani za dhati kwa Dj Teddy

Friday, May 10, 2013




WAREMBO watatu wanaodaiwa kuwa ni madenti wa chuo kikuu kimoja jijini Dar, waliojitambulisha kwa jina mojamoja, Rachel, Neema na Suzan, wamekumbana na balaa zito baada ya kupokea kibano cha kutosha... 

Tukio hilo lilitokea maeneo ya Kijitonyama, jijini Dar, usiku wa saa 8:00, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo madenti hao walipokea kichapo  kikali  kutoka kwa Polisi Jamii.

Warembo hao walifikwa na kasheshe hilo baada ya kugeuka kero kwenye geti la kigogo mmoja  kwa kuwa walionywa mara kadhaa kuacha kupanga foleni katika eneo hilo na kujihusisha na vitendo vya ngono.


“Unajua walikuwa kero sana. Yaani asubuhi kukicha utakuta mipira ya kiume imetapakaa kila sehemu. Mbaya zaidi utakuta watoto wakicheza mchana wanaokota hiyo mipira ya kiume na kupuliza kama puto,” alisema shuhuda mmoja aliyeamshwa na makelele ya warembo hao wakati wakila kibano.

Aliendelea: “Unajua wakikaa hapa ni hatari tupu kwani wanaume wanaokuja kuwafuata wanaweza wakatudhuru kwa sababu hatuwajui.”


Katika tukio hilo, walinzi hao wakiwa kwenye doria, walipokea malalamiko kwa mara 1000, kutoka kwa kigogo huyo akiomba msaada wa kuwaondoa warembo hao getini kwake wanaodaiwa kujiuza eneo hilo.

Habari nyingine zilieleza kuwa wadada hao wamekuwa wakiweka mitego yao nje ya nyumba hiyo ikidaiwa kwamba lengo ni kumnasa kigogo huyo ili kumuuzia biashara yao kwa kuwa ni ‘mkataji’ mzuri wa mkwanja.

Mbali na hilo, pia ilidaiwa kuwa wanaume wapenda ngono rejareja na hatarishi huwafuata eneo hilo kupata huduma yao.
Ilidaiwa kuwa walinzi hao walielezwa kuwa katika kukuza biashara hiyo haramu, warembo hao wamekuwa wakiwabugudhi wakazi wa eneo hilo hadi kufikia hatua ya kuwagongea madirishani na kusimamisha magari hovyo

Huku wakijua wamepata wateja, kundi la kinadada hao wakiwa na vinguo vya kimitego na wengine kujifunua na kubaki nusu utupu ili kuwaonesha wanausalama hao nyeti zao wakijua ni wateja ndipo wakakutwa na kasheshe hilo.


Wanausalama hao, bila kuchelewa waliwazingira warembo hao na kuwanasa kisha kuwapa kibano lakini katika purukushani hiyo wengine walifanikiwa kupata upenyo na kuchoropoka.

Katika kibano hicho, makelele ya warembo hao yalisababisha watu kuamka na kufunga mtaa.

Kutokana na timbwili hilo la akina dada hao kuwa zito, iliwabidi polisi hao jamii watumie nguvu ya ziada kuwatuliza kabla ya kuwapeleka mbele ya sheria.

Baada ya warembo hao kudakwa, walipakizwa kwenye Bajaj na kupelekwa kituo cha polisi ili wafikishwe mahakamani.

Thursday, May 9, 2013


Mambo  vipi  Mpekuzi...!!

Kuna  kitu  kunaniumiza  sana  akilini.....Kinaniumiza  kwa  sababu  kila  nikifikiria  huwa  sipati  jibu.

Kitu  chenyewe  ni  hii  staili  mpya  ya  UWEKAJI  WA   MDOMO kwa dada  zetu  wakati  wa  kupiga  picha......

Hiyo  staili  yao  ya  "mdomo"  humaanisha  nini???....Je  ni  "Tusi"  flan  au  ni  "fasheni"  tu  

Kwa  kweli  ni  kitu  kinachonitatiza....Utakuta  dada  ni  mzuri....  nikiwa  na  maana  kwamba  ni  kifaa, lakini  naye  Kauvuta  mdomo, pembeni  kidogo  kaupanua ,alafu kaunyonga....Nadhani  kuna  maana  flani  iliyojificha
Nimeileta  maada  hii  nikiwa  na  imani  kuwa  wasomaji  wenzangu   hasa  akina  dada watanipanua  kimawazo  na  kunijuza  zaidi....


Mdau  wenu,
Mwanza


MWIMBAJI wa Muziki wa Injili , Bahati Lusako Bukuku amefunguka kuwa amepata mchumba lakini tatizo linabaki kuwa mume wake wa zamani, Daniel Basila ambaye anasuasua kumpa talaka yake
Akizungumza na mwandishi wetu jijini Dar juzikati, staa huyo anayetamba na wimbo wake wa Dunia Haina Huruma aliweka wazi kwamba hivi karibuni Mungu amemjalia kupata mchumba ambaye anahofia kumwanika kwa kuwa anabanwa na kifungo cha ndoa yake ya kwanza aliyofunga na Basila.
 

Bahati alisema kuwa kifuatacho inabidi adai talaka yake kwa nguvu zote hata ikiwezekana kufikishana polisi ili aondokane na kifungo cha ndoa hiyo na aanze mipango ya ndoa kwa kuwa hataki kumtendea Mungu dhambi.
Alisema kuwa, mara nyingi amekuwa akimkumbusha mumewe huyo wa zamani kuhusu talaka lakini amekuwa akimwambia asikonde talaka yake ipo hivyo avute subira.
 

Bukuku aliolewa na Daniel na kufanikiwa kupata mtoto mmoja ambaye alifariki dunia mwaka 2006 kabla staa huyo kutengana na mumewe.

Wednesday, May 8, 2013


Still waiting for you man to pop the big question to you? 
Wondering why it is taking him so long?....
 
Here’s a list of ten possible reasons why your significant other hasn’t asked you to marry him yet.

1. You are already playing house; 

You live together. You have children. You share bills. You have essentially taken on traditional wife duties without the title.Why should he get married?

2. He’s already said no, you’re just not listening 

Please keep in mind that no amount of love can make someone do something they don’t want to do.

3. You are a liability 

Do you have excessive debt, several children (not his) or other responsibilities he doesn’t want? Bottom line, most men “hold on an average hand” and only marry when the perception is we’re gaining an asset.

4. You are his Vegas girl or his “good time girl” 

If you always get the call to hang out with him and his boys, or to accompany him on the business trip to a fun city but you don’t get the invite to any company events or family gatherings, he’s basically saying, we can have a good time together but it stops there.

5. His other woman doesn’t like you 

If he grew up in a household with mama or grandma (or big sis, auntie, etc.) at the helm, chances are, no matter his age, those “other” women carry heavy influence on his decisions.

6. You are a nag or have a bad attitude. 

If your words or actions create constant irritation, there is no way he’s going to want to bond with you for life.

7. He doesn’t respect your boundaries 

You came into the relationship saying you have rules and standards. He then broke every rule and you lowered your standards to accommodate being with him.

8. He is commitment phobic 

He’s cool with calling you his girl, truly loves you and desires to spend the remainder of his days on this earth with you, however, the discussion of marriage is taking it to a level he is psychologically uncomfortable with.

9. He doesn’t feel like you need him

If he doesn’t feel like you need him for anything, why would he marry you?

10. He’s simply not ready 

Getting married is serious business. I applaud those who take time to assess not only if their partner is a good fit, but also if they are mature enough for marriage.


Kakamega, Kenya
KUNDI la watu wenye hasira huko Kakamega  lilimpiga hadi kumwua mwalimu ambaye alibambwa akifanya mapenzi na mke wa askofu.


Askofu huyo alikuwa akiendesha ibada ya mazishi kijijini Tomboo, Jimbo la Malava.

Mkuu wa Wilaya ya Kakamega Kaskazini,  Gideon Ombongi , alisema mwalimu huyo na mke wa askofu walitoroka kwenye mazishi na kuingia nyumbani kwa askofu huyo ambapo ni mita chache tu kutoka mazishini.

Baada ya kukamilisha ibada ya mazishi, askofu aliingiwa wasiwasi na kuamua kumtafuta mkewe alipokwenda. Alipofika nyumbani kwake aliwakuta wawili hao wakifanya mapenzi jikoni.

Mapigano yalitokea kati ya askofu na mwalimu huyo ambapo mwanamke alikimbia.

Mkuu wa Polisi wa Kakamega Kaskazini, Justus Kitetu, alisema mapigano hayo yalivutia watu ambao walijaa kwenye nyumba ya askofu.

“Askofu aliwaambia wanakijiji kilichokuwa kimetokea nao wakampiga mwalimu na kumwua,” alisema na kuongeza kwamba askofu amekatwa kwa uchunguzi.  Mke wa askofu naye alikamatwa lakini aliachiliwa.

Monday, May 6, 2013

Habari, 
Nina rafiki yangu ameolewa miaka 5 iliyopita kabla ya kuolewa alikuwa na mtoto mmoja,shida aliyonayo ni kwamba toka aingie kwenye ndoa mume wake hasimamishi kabisa,hivyo hutumia ulimi na kuuingiza kwenye uke ili amridhishe mkewe.

kipindi cha mwanzo mke alivyomuuliza kama anatatizo akadai ni mawazo tu kwan akili yake asilimia kubwa inawaza amuandaliaje mkewe maisha.

 
Mke akaendelea kuvumilia sasa imefikia hatua kadai kachoka upande wa kiume hawamtaki wanadai hazai anajaza choo,hilo halimuumiz sana ingawa anapenda kuzaa ila kubwa linalomshinda kuendelea na ndoa ni kutopata haki yake ya msingi tendo la ndoa.

Imefikia hatua mume kalidhika na hayo maisha hana dalili ya kutafuta ufumbuzi kila akimshauri anapuuza tu.

Jaman Wasomaji wa JUNGU KUU BLOG  msaidieni kumpa ushauri huyu dada.

Asanteni nawasilisha


Sunday, May 5, 2013


ASILIMIA 60 ya wanaume wasioweza kufanya tendo la ndoa inatokana na matatizo ya kisaikolojia. Takwimu hizo zimetolewa jijini Dar es Salaam na Meneja wa Mradi wa Chama Cha Elimu ya Afya ya Uzazi cha Sweden (RFSU), Dk. Cathbert Maendaenda wakati wa semina ya siku moja ya waandishi wa habari iliyokuwa na lengo la kuzungumzia sheria ya masuala ya uzazi na ushiriki wa wananume. Dk. Maendaenda alisema wanaume wanaopata tatizo hilo kutokana na magonjwa, umri na maumbilie ni asilimia 40 tu.

“Kundi kubwa la wananume wanaopata tatizo hili si kwamba ni wagonjwa bali wanakabiliwa na matatizo ya kisaikolojia, ukiwaweka chini na kuwapatia elimu wanarudi katika hali yao ya kawaida.

“Lakini changamoto kubwa inayopata wanaume hawa ni kwamba hospitali zetu ninyi zimejengwa kwa mfumo wa kutoa tiba na si ushauri nasaha kwahiyo mwanaume anaweza kwenda kule ili kuelezea tatizo lake lakini kutokana na mazingira ya hizo OPD  anashindwa kujielezea.



“Matokeo yake anarudi nyumbani na kukaa na tatizo, kundi kubwa la wananume wa aina hiii wanakimbilia kwa waganga wa kienyeji au kujitibu wenyewe kwa mitishamba wakiamini watapona lakini mwisho wa siku hakuna unafuu unaopatikana,” alisema Dk. Maendaenda.


Akizungumzia tatizo la usihiriki wa wanaume katika suala la uzazi alisema bado jamii ina changamoto kubwa kwasababu wanaume wanapewa haki za kufanya ngono zaidi kuliko wanawake.


“Kwenye jamii tunayoishi bado kuna tatizo kubwa, wanaume wamepewa uhuru wa kufanya ngono kuliko wanawake, mwanamke akimfumania mke wake jamii na familia inachukulia jambo hilo ni la kawaida.


“Lakini mwanaume anapokwenda kushitakiwa kwao au ukweni akisema nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine mwanamke huyo ataonekana nuksi na jamii itamtenge


“Sasa wote huu ni ukatili na kuminya haki za wanawake, ndiyo maana unaona mwanamke hata akijua mume wake anatoka nje ya ndoa ataishia kulalamika mwenyewe lakini hajui hatua za kuchukua,”alisema Dk. Maendaenda.

Alisema kutokana na hali hiyo ya kukandamizwa kwa haki zao, wanawake wengi waliko ndani ya ndoa wanashindwa kutumia njia za kisasa za uzazi wa mpango kutokana na kuwaogopa waume zao.